\v=16 \v~=Farasi wa Solomoni waliletwa kutoka Misri na kutoka Kue.\f + \fr 1:16 \ft Yaani Kilikia.\f* Wafanyabiashara wa mfalme waliwanunua kutoka Kue. \¬v