\v=17 \v~=Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600\f + \fr 1:17 \ft Shekeli 600 za fedha ni sawa na kilo 7.\f* za fedha, na farasi kwa shekeli 150.\f + \fr 1:17 \ft Shekeli 150 ni sawa na kilo 1.7.\f* Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu. \¬v \¬p \¬c