\v=3 \v~=Naye Solomoni na kusanyiko lote wakakwea mpaka mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni, kwa kuwa huko ndiko Hema la Kukutania la Mungu lilipokuwa, ambalo Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd* alikuwa amelitengeneza huko jangwani. \¬v