\v=5 \v~=Lakini yale madhabahu ya shaba ambayo Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, alikuwa ametengeneza yalikuwa huko Gibeoni mbele ya Maskani ya \nd Bwana\nd* Mungu, hivyo Solomoni na kusanyiko lote walimtafuta Mungu huko. \¬v