\v=6 \v~=Solomoni akapanda huko yalikokuwa madhabahu ya shaba mbele za \nd Bwana\nd* katika Hema la Kukutania, na kutoa dhabihu 1,000 za sadaka za kuteketezwa juu yake. \¬v \¬p