\p \v=13 \v~=Watu wote wa Yuda pamoja na wake zao, watoto wao na wadogo wao wakasimama pale mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p