\v=17 \v~=Hamtahitaji kupigana vita hivi. Kaeni kwenye nafasi zenu, simameni imara na mkaone wokovu \nd Bwana\nd* atakaowapatia, enyi Yuda na Yerusalemu. Msiogope, wala msifadhaike. Kesho tokeni mwende mkawakabili, naye \nd Bwana\nd* atakuwa pamoja nanyi.’ ” \¬v \¬p