\p \v=18 \v~=Yehoshafati akainamisha uso wake chini, nao watu wote wa Yuda na Yerusalemu wakaanguka chini ili kuabudu mbele za \nd Bwana\nd*. \¬v