\v=19 \v~=Ndipo baadhi ya Walawi kutoka kwa Wakohathi na kwa wana wa Kora wakasimama na kumsifu \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana. \¬v \¬p