\p \v=2 \v~=Watu fulani wakaja wakamwambia Yehoshafati, “Jeshi kubwa linakuja dhidi yako kutoka Edomu tokea ngʼambo ile nyingine ya Bahari.\f + \fr 20:2 \ft Yaani Bahari ya Chumvi.\f* Tayari liko Hasason-Tamari” (yaani En-Gedi). \¬v