\p \v=20 \v~=Asubuhi na mapema wakaondoka kuelekea Jangwa la Tekoa. Walipoanza safari, Yehoshafati akasimama akasema, “Nisikilizeni, enyi Yuda, na watu wa Yerusalemu! Mwaminini \nd Bwana\nd* Mungu wenu, hivyo mtathibitika, wasadikini manabii wake nanyi mtafanikiwa. \¬v