\p \v=22 \v~=Walipoanza kuimba na kusifu, \nd Bwana\nd* akaweka waviziao dhidi ya watu wa Amoni, Moabu na wale wa Mlima Seiri waliokuwa wamekuja kuishambulia Yuda, nao wakashindwa. \¬v