\v=26 \v~=Siku ya nne wakakusanyika katika Bonde la Beraka\f + \fr 20:26 \ft Bonde la Beraka maana yake Bonde la Kusifu.\f* kwa maana huko ndiko walikomsifu \nd Bwana\nd*. Ndiyo sababu linaitwa Bonde la Beraka mpaka leo. \¬v \¬p