\p \v=27 \v~=Kisha watu wote wa Yuda na Yerusalemu, wakiongozwa na Yehoshafati, wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kwa kuwa \nd Bwana\nd* alikuwa amewasababisha wafurahi juu ya adui zao. \¬v