\p \v=29 \v~=Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi \nd Bwana\nd* alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli. \¬v