\v=3 \v~=Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta \nd Bwana\nd*, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga. \¬v