\v=32 \v~=Alienenda katika njia za Asa baba yake wala hakwenda kinyume chake. Alifanya yaliyo mema machoni pa \nd Bwana\nd*. \¬v