\p \v=16 \v~=\nd Bwana\nd* akaamsha chuki ya Wafilisti na ya Waarabu walioishi karibu na Wakushi dhidi ya Yehoramu. \¬v