\p \v=18 \v~=Baada ya mambo haya yote, \nd Bwana\nd* akampiga Yehoramu kwa ugonjwa usioponyeka wa matumbo. \¬v