\v=7 \v~=Hata hivyo, kwa sababu ya Agano ambalo \nd Bwana\nd* alikuwa amefanya na Daudi, \nd Bwana\nd* hakuwa radhi kuangamiza nyumba ya Daudi. Mungu alikuwa ameahidi kuidumisha taa kwa ajili yake na wazao wake milele. \¬v \¬p