\p \v=7 \v~=Mungu alikuwa ameamuru kwamba kuanguka kwa Ahazia kungetokea atakapokwenda kumwona Yoramu. Ahazia alipowasili, wakatoka pamoja na Yoramu ili kwenda kukutana na Yehu mwana wa Nimshi, ambaye \nd Bwana\nd* alikuwa amemtia mafuta kuangamiza nyumba ya Ahabu. \¬v