\p \v=12 \v~=Athalia aliposikia kelele za watu wakikimbia na kumsifu mfalme, akawaendea watu katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v