\p \v=18 \v~=Kisha Yehoyada akaweka uangalizi wa Hekalu la \nd Bwana\nd* mikononi mwa makuhani, waliokuwa Walawi, ambao Mfalme Daudi alikuwa amewagawa ili wahudumu hekaluni kwa ajili ya kutoa sadaka za kuteketezwa za \nd Bwana\nd* kama ilivyoandikwa katika Sheria ya Mose, kwa kushangilia na kuimba kama Daudi alivyokuwa ameagiza. \¬v