\v=19 \v~=Pia akawaweka mabawabu kwenye malango ya Hekalu la \nd Bwana\nd* ili kwamba kwa vyovyote asije akaingia mtu yeyote aliye najisi. \¬v \¬p