\v=6 \v~=Hakuna mtu yeyote ataingia katika Hekalu la \nd Bwana\nd* isipokuwa makuhani na Walawi walioko kwenye zamu. Wao wanaweza kuingia kwa sababu ni watakatifu, lakini watu wengine wote itawapasa kulinda kile walichoamriwa na \nd Bwana\nd*. \¬v