\v=12 \v~=Mfalme na Yehoyada wakawapa wale watu waliofanya kazi iliyotakiwa katika Hekalu la \nd Bwana\nd*. Wakawaajiri waashi na maseremala ili kutengeneza Hekalu la \nd Bwana\nd*, pia wafanyakazi za chuma na shaba ili kukarabati Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v \¬p