\p \v=13 \v~=Watu walioshughulika na kazi walikuwa wenye bidii, nayo kazi ya kukarabati ikaendelea vizuri mikononi mwao. Wakalitengeneza upya Hekalu la \nd Bwana\nd* likarudi katika hali yake ya awali na kuliimarisha. \¬v