\v=18 \v~=Wakaacha Hekalu la \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao, wakaabudu nguzo za maashera na sanamu. Kwa sababu ya hatia yao, hasira ya Mungu ikawajia Yuda na Yerusalemu. \¬v