\v=2 \v~=Yoashi akafanya yaliyo mema machoni pa \nd Bwana\nd* miaka yote ya Yehoyada kuhani. \¬v