\p \v=20 \v~=Ndipo Roho wa \nd Bwana\nd* akaja juu ya Zekaria mwana wa Yehoyada kuhani. Akasimama mbele ya watu akasema, “Hili ndilo asemalo Mungu, ‘Kwa nini mnakataa kuzitii amri za \nd Bwana\nd*? Hamtafanikiwa kwa kuwa mmemwacha \nd Bwana\nd*, yeye naye amewaacha ninyi.’ ” \¬v \¬p