\p \v=21 \v~=Lakini wakafanya shauri baya juu yake na kwa amri ya mfalme wakampiga kwa mawe mpaka akafa katika ukumbi wa Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v