\v=24 \v~=Ingawa jeshi la Waaramu lilikuwa limekuja na watu wachache tu, \nd Bwana\nd* akatia mikononi mwao jeshi kubwa kuliko lao. Kwa sababu Yuda walikuwa wamemwacha \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zao, hukumu ilitekelezwa juu ya Yoashi. \¬v