\p \v=6 \v~=Kwa hiyo mfalme akamwita Yehoyada kuhani mkuu na kumwambia, “Kwa nini hukuwaambia Walawi walete kutoka Yuda na Yerusalemu kodi iliyowekwa na Mose mtumishi wa \nd Bwana\nd* pamoja na kusanyiko la Israeli kwa ajili ya Hema ya Ushuhuda?” \¬v \¬p