\p \v=7 \v~=Kwa kuwa wana wa yule mwanamke mwovu Athalia, walikuwa wamevunja na kuingia katika Hekalu la Mungu, nao wakawa wamevitumia hata vile vitu vilivyowekwa wakfu kwa \nd Bwana\nd* kwa mabaali. \¬v \¬p