\p \v=8 \v~=Kwa amri ya mfalme, likatengenezwa kasha, nalo likawekwa nje kwenye lango la Hekalu la \nd Bwana\nd*. \¬v