\v=27 \v~=Kuanzia wakati ule Amazia alipogeuka na kuacha kumfuata \nd Bwana\nd* walifanya shauri baya dhidi yake huko Yerusalemu naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi nao wakamuulia huko. \¬v