\p \v=7 \v~=Lakini mtu wa Mungu akamjia na kumwambia, “Ee mfalme, haya majeshi kutoka Israeli kamwe usiyaruhusu yaende pamoja na wewe kwa kuwa \nd Bwana\nd* hayuko pamoja na Israeli, wala hayupo pamoja na yeyote wa watu wa Efraimu. \¬v