\p \v=16 \v~=Lakini baada ya Uzia kuwa na nguvu sana, majivuno yake yakamsababishia kuanguka. Alikosa uaminifu kwa \nd Bwana\nd* Mungu wake, naye akaingia hekaluni mwa \nd Bwana\nd* ili afukize uvumba kwenye madhabahu ya kufukizia uvumba. \¬v