\v=17 \v~=Azaria kuhani akiwa pamoja na makuhani wengine themanini wa \nd Bwana\nd* wenye ujasiri wakamfuata huko ndani. \¬v