\v=18 \v~=Wakamkabili na kumwambia, “Siyo sawa kwako, Uzia, kumfukizia \nd Bwana\nd* uvumba. Hiyo ni kazi ya makuhani, wazao wa Aroni, ambao wamewekwa wakfu ili kufukiza uvumba. Ondoka mahali patakatifu, kwa kuwa umekosa uaminifu nawe hutaheshimiwa na \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p