\v=5 \v~=Akamtafuta Mungu katika siku za Zekaria, aliyemwelekeza kumcha Mungu. Wakati wote alipomtafuta \nd Bwana\nd*, Mungu alimfanikisha. \¬v \¬p