\v=2 \v~=Akafanya yaliyo mema machoni pa \nd Bwana\nd* kama Uzia baba yake alivyokuwa amefanya, lakini tofauti na yeye, hakuingilia huduma za hekaluni mwa \nd Bwana\nd*. Lakini hata hivyo, watu wakaendelea na desturi zao mbaya. \¬v