\v=13 \v~=Wakamwambia, “Hamna ruhusa kuwaleta hao wafungwa hapa, ama sivyo tutakuwa na hatia mbele za \nd Bwana\nd*. Je, mnataka kuongezea dhambi yetu na hatia yetu? Kwa sababu hatia yetu tayari ni kubwa, nayo hasira kali ya \nd Bwana\nd* iko juu ya Israeli.” \¬v \¬p