\p \v=24 \v~=Ahazi akakusanya pamoja vyombo vya nyumba ya Mungu na kuvivunja vipande vipande. Akafunga milango ya Hekalu la \nd Bwana\nd* na kusimamisha madhabahu katika kila njia panda ya barabara za Yerusalemu. \¬v