\v=25 \v~=Katika kila mji wa Yuda akajenga mahali pa juu pa kuabudia miungu ili kutolea miungu mingine kafara za kuteketezwa na kuchochea hasira ya \nd Bwana\nd*, Mungu wa baba zake. \¬v \¬p