\v=3 \v~=Akatoa sadaka za kuteketezwa katika Bonde la Ben-Hinomu, na kuwatoa wanawe kafara kwa kuwateketeza kwa moto, akifuata njia za machukizo za yale mataifa \nd Bwana\nd* aliyoyafukuza humo mbele ya Waisraeli. \¬v