\p \v=5 \v~=Kwa hiyo \nd Bwana\nd* Mungu wake akamtia mikononi mwa mfalme wa Aramu. Waaramu wakamshinda, wakachukua watu wake wengi mateka na kuwaleta mpaka Dameski. \¬p \p \p~<