\v=10 \v~=Sasa ninadhamiria moyoni mwangu kuweka Agano na \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, ili hasira yake kali igeuziwe mbali nasi. \¬v