\p \v=15 \v~=Walipomaliza kuwakusanya ndugu zao na kujiweka wakfu, wakaingia ndani ili kutakasa Hekalu la \nd Bwana\nd*, kama vile mfalme alivyokuwa ameagiza, kwa kufuata neno la \nd Bwana\nd*. \¬v