\v=16 \v~=Makuhani wakaingia patakatifu pa Hekalu la \nd Bwana\nd* ili kupatakasa. Wakatoa nje penye ua wa Hekalu la Mungu kila kitu kichafu walichokikuta kwenye Hekalu la \nd Bwana\nd*. Walawi wakavichukua na kuvipeleka nje katika Bonde la Kidroni. \¬v